UPESI
Gazeti Dogo Linalowapa Watu Habari Njema katika Kiswahili
Je, Wahitaji Suluhisho Katika Jambo Fulani Maishani Mwako? Mungu akusaidiaje leo?
Tazama UPESI Ndilo Gazeti Dogo Liletalo Habari Njema Zitakazokufungulia Njia!
Gazeti hili latumwa kwako bila malipo yo yote. Unapohitaji kuwa katika orodha ya wapokeaji tuandike kwa e-mail hii:

upesi-office@soon.org.uk

au tuandike kwa anwani hii:

    UPESI
    44 Twyford Road
    Willington
    Derby
    DE65 6BN
    England
UPESI online
Je, utasomaje Gazetini hilo? Hebu, utazame hadidhi hizo zatokazo kwa nyaraka nyingine za UPESI:
Alinifyatulia Bunduki:
Baba mmoja alivyomfyatulia risasi mwanake. Aliponaje?

Kupenda Jirani:
Vijana walimtunzaje mzee ambaye hakuwa na jamaa?

"Mtoto wa Siku Zote":
Je, mlevi alipona vipi?

Mtoto Alipotea!
Mtoto alipotea nchini Togo bali Mungu alimsaidia ndugu yake amkute tena.

Nilihukumiwa Moyoni
Joseph alihukumiwa moyoni mwake siku zote mpaka alipovumbua jibu la Mungu.

UPESI Broadsheet in PDF formatissue172 in PDF format
A UPESI issue182 Broadsheet in PDF format
UPESI 2000 Broadsheet in PDF format
A UPESI issue185 Broadsheet in PDF format
The complete broadsheet to download. Needs Acrobate 3 or higher Reader. A complete printable copy of an issue

Ukiwa na ushuhuda kuhusu miujiza ambayo Mungu amekutendea, labda tutauchapa. Tutumie kwetu.

back to Country page


©copyright SOON Ministries

Contact us